Jumamosi, 2 Julai 2022

BATI AINA YA LIFESTYLE

 Aina ya bati: Lifestyle

 

Bati za lifestyle ni bati  ambazo ziko katika mfumo wa vigae, ziko aina mbali mbali kama zinavyoonekana katika sampo tulizokuwekea hapo chini, pia zinapatikana katika rangi sita ambazo ni Skyblue, Dark blue, Maroon, Tile red, Brick red, na Charcola, kama ilivyoainisha hapo chini



Tumekuwekea sampo za bati husika 






















Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

BATI AINA YA VERSATILE

  Aina ya bati: Versatile Upana: 1015mm Unene: 0.32mm (Geji 28)   Yanapatikana katika rangi sita ambazo ni Skyblue, Dark blue, Ma...